MT0T0 KATEKWA NA MAJAMBAZI! majambazi wakampigia simu baba yake na - TopicsExpress



          

MT0T0 KATEKWA NA MAJAMBAZI! majambazi wakampigia simu baba yake na mt0t0! wakamwambia kama unataka mt0t0 wak0 lete d0la elfu ishirini ndi0 utampata mt0t0 wak0, Baba mtu akauliza mt0t0 wangu mnampa chakula? Jambazi akajibu tunampa ndi0! Baba mtu akauliza tena mnampa maji ya kunywa? Jambazi akajibu tunampa ndi0! Baba mtu akauliza tena mnampa pakulala? Jambazi akasema ndi0! Baba akasema kama ni hvyo basi nj00 uwachukue na ndugu zake?? HAPIGWI MTU MZINGA!
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 14:53:35 +0000

Trending Topics




© 2015