MWANAUME NIMPENDAE SEHEMU YA 22 ILIPOISHIA Dereva baada ya - TopicsExpress



          

MWANAUME NIMPENDAE SEHEMU YA 22 ILIPOISHIA Dereva baada ya kumwambia kwamba asitoke alikosa pozi la kukaa pale kwenye kochi, mie niligeukia ukutani ambapo kuna kioo nikawa najifuta futa maji huku nikimuangalia kwa kuibia Mudy, alikua ananitolea macho huku akibadirisha badirisha mikao pale kwenye kochi, nikaamua tu nifanye makusudi litakalokua na liwe…nikalidondosha lile tauro chini kama kwa bahati mbaya kumbe nimefanya kusudi kisha nikamtupia jicho Mudy, niliweza kumuona kidume macho yakimtoka kama katolewa bastola, wakati nimedondosha lile tauro nikainama chini taratibu kama staki au naumwa kiuno vile kisha nikashika lile tauru huku nikiwa nimemgeuzia mgongo, najijua mwenyewe shepu langu linavyowapagawisha wanaume na huu mzigo ambao nimejaaliwa huku nyuma, sio wakichina bali ni mzigo orijino kabisa, rangiyangu nyeupe na ile nguo yangu ya kwanza kuvaa nay a mwisho kuvua yenye rangi ya pink ilitosha kabisa kumdondosha mate mudi kama kapewa kipande cha nyama kisha kanyang`anwa basi kabaki na uchu tu udenda ukimtoka…. Nilipoinama nilikua nimegeuzia makalio yangu upande ule ambao Mudy kaka, basi niliokota tauro kisha nikaendelea kuinama vile vile na kuanza kuifuta miguu yangu huku kaka wa watu akimaliza mikao yote pale kwenye kochi….. ENDELEA..... Dereva wa tax aliniangalia huku akionekana kuyatamani maumbile yangu ambayo yamekaa vizuri kuanzia juu hadi chini kwa umakini zaidi, kwakuwa pesa sina ilinibidi Nimalize vitimbwi vyote hadi anitamani, niliianama pale chini baada ya kudondosha taulo na kubakiwa na ch**p yangu kisha taratibu na kwa pozi kujifunga Kifuani, kwakuwa taulo lilikuwa fupi kidogo basi baada ya kujifunga liliishia katikati ya mapaja nakuyafanya mapaja yangu meupe yaliyojaa jaa vizuri kuonekana kwa kiasi kikubwa huku yule dereva wa taksi akionyesha dhahiri kwamba uzalendo unamshinda “mmmmhhhhh!!! Irene na wewe unavituko kweli” alisema dereva taksi “kwanini tena jamani mbona mimi mtu wakawaida tu jamani au nakufanya ujisikie vibaya” nilijibu “hivi inakuaje mwanaume anajaribu kukusaliti mpenzi wake wakati unauzuri wa kila kitu, yani nakuonea sana huruma Irene kwanini usiachane nae huyo mwanaume? Utajikondesha bure mtoto wa watu wakati wapo wanaume kibao wanaokupenda na wapo watakao kukujari kwa kila kitu” alisema dereva taksi huku akiniangalia kwa matamanio… Nilisogea hadi pale kaa yule dereva taksi na kuketi karibu yake kisha nikamwambia “laiti ungejua wapi nilipo toka na huyu mwanaume na mambo mangapi nimefanya nae usingejaribu kuniambia niachane nae nampenda sana na sijui matatizo yangu yapo wapi?” nilijibu huku nikijifanya nalia kwa uchungu sana na kumwegemea huku moyoni nikijisemea “huu ndo ulimbo lazima unase” “hapana usilie Irene ni vitu vya kawaida tu hivyo, sio kila mtu ataweza kuona umuhimu wako lakini wapo wachache ambao wanauona tafadhari Irene usilie maana unanitia uchungu na mimi, nakuahidi yani huyu mwanamke anayekuchukuliamwanaume wako lazima atakiona cha moto leo atajuta” aliongea kwa hisia dereva taksi huku akipeleka mkono wake kwenye paja langu na mkono wake mwingine akinishika kichwani na kulaza kichwa changu kwenye bega lake Hapa naweza sema chambo ambaye nilikua nimemtunga kwenye ndoano yangu alikua ni mdogo sana lakini niliweza kumnasa samaki mkubwa sana ndani ya bahari ambapo nilikua nimetupia ndoano yangu…. “yani sijui nani atakaye nipenda kwa dhati mimi maana niliye muamini na kumpenda kwa dhati naye amenisaliti nilijaribu kumpatia upendo wote wa dhati kutoka kwangu nilimpenda kama mume wangu wa ndoa nilimtambulisha kwa kila rafiki yangu na ndugu kwa jinsi nilivyompenda na kumuamini lakini leo hii siamini kama ameamua kunifanyia kitu kama hiki” nilimwambia yule dereva taksi kwa sauti ya huzuni, nilikua nayatamka maneno yale huku moyo wangu ukinusuta kwamba mimi ndo niliyeanza kuwa msaliti, Joh alinisamehe pindi nilipomsaliti kwa devis lakini ujeuri wangu ndo uliniponza… “sikiliza Irene wewe ni msichana mrembo sana haupaswi kusema maneno kama hayo na ninakuomba punguza hasira kidogo na wala usijari kabisa wewe cha msingi subiri uone, maana upo na kidume cha mbegu hapa, hawezi kufanya mrembo kama wewe ulalamike kiasi hiki wakati tupo ambao tunazihitaji nafasi kama hizo, ila nikwambie kitu wewe tafuta mtu mwingine na yeye akijua lazima roho itamuuma tu atarudi kwako au wewe unaonaje” alisema dereva taksi huku akipeleka ndimi zake kwenye midomo yangu huku mkono wake ule alio uweka kwenye paja akizidi kuupandisha juu zaidi karibu na kiuno kwa hisia zaidi kwakuwa nilikuwa sina pesa ya kumlipa kama ujira wake nilikuwa tayari kufanya chochote wakati huo… Ghafla tulisikia sauti ya mlango ukifungua chumba cha pili tulikurupuka tulipo kaa na kwenda kuchungulia nani aliyekuwa anatoka ndani, nilimuona joh akitoka ndani na msichana huku wakiwa wamekumbatiana na kucheka kwa furaha kisha wakaingia mlango unaofuatia ambao juu palikua pamebandikwa kibao kilichosomeka “RESTAURANT & BAR” kiukweli moyo uliripuka moto na kusikia maumivu makali sana na kujikuta machozi yakinitiririka mashavuni mwangu, Nilianza kujiuliza kama Joh ameshakula mzigo je alitumia Condom?? Nikiwa nawaza hayo tax driver aliniongelesha “sikia Irene acha kulia na tufanye kilicho tuleta hapa wanaenda kulewa wale, sasa wewe baada ya kujikaza wewe unakazana kulia sasa unadhani tutafanikisha kweli lengo letu? tafadhali simama na ujikaze mimi naona bora twende tuwawahi” alisema dereva taksi bila kujua kwamba mimi ndo nimeachwa na Joh.. “haya najikaza” nikavaa nguo haraka haraka na tukatoka nje taratibu tukiwafatilia kwa nyuma Tuliwakuta wamekaa kwenye bar ambayo iliyokuwa ndani ya hotel hiyo nasi tukaenda kuketi mbali kidogo na wao ili wasituone, niliagiza mzinga wa konyagi dereva taksi nayeye akaagiza safari lager huku tukiendelea kuwaangailia kwa umakini… Yule msichana alianza kumkiss joh mdomoni mbele ya macho yangu, sikuamini hasira zilinipanda ghafla na kusimama kwa jazba tayari kwenda kumvamia yule msichana na kupambana naye, lakini dereva wa taksi alinishika kwa nguvu na kunizuia nisiende kufanya fujo nisubiri kidogo.. Nikaamua nitulie tulii kama maji ya mtungini huku mapigo yangu ya moyo yakienda kasi kama vile israel mtoa roho yupo mbele yangu, niliinua ile chupa ndogo ya konyagi kisha nikamimina mdomoni kama nakunywa maji japo ilikua kali sana lakini kwa muda ule niliiona ikiteremka kwenye koo yangu kimya kimya, baada ya kushusha ile chupa tayari ilikua imefika nusu, yule tax driver alibaki ameachama mdomo akishangaa kile akionacho mbele ya macho yake, nilisimama lakini tax driver akanidaka mkono “unaenda wapi?” aliniuliza huku akiwa kanishika mkono wangu, kumbe wakati nimesimama Joh alikua ameniona akabaki kushangaa nimefikaje pale, akili yake aliwaza kwamba yule jamaa niliyekuanaye pale ni mwanaume wangu kumbe hakujua tupo pale kwaajili ya nini, alipoona namuangalia aliinama chini… Nilimsukuma kwa nguvu dereva taksi akaanguka chini na kuanza kukimbilia pale alipo kaa Joh na yule msichana, nilimpiga kibao shavuni na kumsukuma akadondoka chini “oya we demu vipi mboa unafanya mambo ya ajabu unampiga huyu mke wangu kakukosea kitu gani” alisema joh kama mtu ambaye alikuwa hanitambui wala kuniona hata siku moja mbele ya macho yake,kwakweli maneno yale yaliniuma sana.. Nilimshika Joh shingoni lakini kabla sijaanzisha timbwili walikuja walinzi wa Lodge hiyo na kututoa nje mimi pamoja na yule dereva wa taksi Nilipotolewa mle ndani ya ile Bar bila kumfanyia fujo nzito Mainda nilianza kulia huku nikiupiga piga ukuta “Irene haina haja ya kulia kwani haito saidia kitu zaidi utajitafutia maumivu ya kichwa yawe mambo mengine wewe mwenyewe umejionea mtu wako kakukana mbele ya msichana kama hakujui na wala hakufahamu, twende chumbani kule ukapumzike alafu ufikirie nini cha kufanya kuliko kulia hapa nje, hebu cheki watu wanavyotuangalia” alisema dereva wa taks na kunishika mkono kunipeleka kule chumbani, Nilipoingia chumbani nilizidi kukiona chumba kichungu, nilienda kuzima tv ambayo tax driver aliiwasha nikatupa tupa mito ovyo ovyo mle ndani “Naomba niondoke eneo hili please hapanifai hapa” “kwahiyo tunaenda wapi Irene? “ “nataka nirudi chuo” Baada ya kumjibu hivyo dereva wa tax alionekana akiwaza kidogo, nilijua anachowaza ni nini? Ilikua kuhusu gharama zake alizopoteza, nilishalijua hilo “kwahiyo malipo yangu uliyoahidi inakuwaje?” “nitakulipa twende bank”nilimjibu Akuongea kitu dereva wa tax zaidi ya kunishika mkono na kuniambia tutoke, wakati tunatoka nje nilijifanya pombe ndo zinazidi kunikolea hivyo nikaanza kuyumba yumba zaidi ya vile mwanzo, tulipiga hatua kadhaa hadi alipo paki gari na kunifungulia mlango wa gari nikaingia kisha akaufunga , alikua amesahau kukabidhi ufunguo kwa mhudumu hivyo akarudi fasta na kuukabidhi, sikujua ni nini alichoongea na muhudumu waile Lodge kwamba tunasign out au bado tupo ila nilimuona akija fasta huku akikimbia kisha akawasha gari tukaondoka kuelekea Bank…. Ndani ya gari niliianza kuwadha nitamwambia nini tukifika hapo Bank ambapo nimemwambia tunaenda kutoa hela wakati mfukoni sina hata card ya ATM, mwendo mchache hadi tunazikaribia ATM za NMB konyagi ambayo nilikua nimeifakamia kwa pupa ilikua tayari imeshanizidi uwezo, nilikua sijawahi kunywa pombe ila nilijifanya mien do bingwa wa pombe kumbe ulikua ni ujinga sana kwangu… Nilikua nasikia kwa mbali sana jina langu likiitwa na yule Dereva wa tax “Irene tuingie ATM hizi za hapa shell au tuende za pale posta?” “twe..twe..tweeeende” nilimjibu bila kujua najibu nini..Muda mchache mbele nilisikia tena akiniita huku akinitikisa “Irene, Irene iren…”lakini nilikua nashindwa kuitika wala kuongea lolote lile, nilikua tayari nishazima kwa pombe kali ambayo ni bapa kubwa la konyagi…. Nilimchanganya sana dereva wa tax, aliniamsha sikuweza kuamka wala kumjibu zaidi ya kutoa tu maneno ambayo ayaeleweki kwake “nikurudishe pale Lodge?” niliitikia tu kwa ishara ya kutingisha kichwa……Dereva wa tax alileta mkono kifuani kwangu na kunifungua vishikizo vya shati langu, nilihisi ni nini anakifanya ila nilikua sijiwezi kabisa kuinua mkono na kuuzuia mkono wake, nilikua kila nikitaka kumzuia nashindwa. Basi alivifungua vifungo vya shati langu ambalo nilikua nimekaa na kuniacha kifuani wazi, akafunga vioo vya gari kisha akafungulia AC katika High speep... Ghafla gari liligeuzwa kwa kasi ya ajabu, sikujua zilitumika dakika ngapi hadi kufika pale Lodge ila nilihisi tu nimebebwa juu juu na baada ya muda nimelazwa kwenye kitanda, tax Drive alianza kunitoa nguo zangu za juu akafuatia na za chini....Itaendelea,
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 22:11:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015