Maana na matumizi ya maneno yanavyoweza kuunda au kuleta tafsiri - TopicsExpress



          

Maana na matumizi ya maneno yanavyoweza kuunda au kuleta tafsiri tofauti akilini mwa waelevu.. Utamsikia mtu anasema mimi najua historia zenu..??!!!! Badala ya mimi najua au nasikia story zenu. Unajua muda na gharama za kuijua historia ya mtu? Tumekutana Zanzibar tumejuana hata mwaka haujaisha vipi utaijua historia yangu? Muda wa kutafuta na kuijua historia ya mtu mmoja tu. Kwa watu wanaotambua thamani ya muda basi ungeliwekeza pahala ukafanya biashara na kuwa mfuatiliaji mzuri kama ambavyo ungefuatilia historia ya mtu. Basi kuwafikia Mengi na bakhressa ni jambo rahisi iwapo muda wako utauwekeza zaidi ktk kuitengeneza historia yako binafsi na si ya mwenzako ambayo haina kabisaaa msaada wala tija na maisha yako. FB social network. ...! Elimu bure.....!
Posted on: Mon, 28 Oct 2013 02:54:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015