Madame, ati mnasema maboy wa Kenya hawakuwagi romantic?! I bet - TopicsExpress



          

Madame, ati mnasema maboy wa Kenya hawakuwagi romantic?! I bet hamjui meaning ya kuwa romantic basi.. Nkikubuyia popcorns za kinde alafu tuwalk home ukikulaga moja moja na me nakuchapia stori za vle ulintingishia poa last nyt, iyo ckuwa romantic ata kama msoto ndo imefanya tuwalk? Alternatively, nkikubeba nikuvukishe mtaro ya sewage nkikupeleka kwa base ya muthura ,iyo si romance? Nkikumpesa ferare ya kukam kwangu ndo nikute ikus na naongezea mbaula ya kubuy chips mwitu on your way,iyo cku extra romantic? Mtapunguza expectations ama mhamie Mexico...nktako!!
Posted on: Tue, 06 Aug 2013 02:01:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015