Maneno kuntu yanayotumika ktk daladala za bongo.. Majungu mliyo - TopicsExpress



          

Maneno kuntu yanayotumika ktk daladala za bongo.. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua... Nenda kaseme tena.. Gusa unate.. Flag ya chuma.. Masikini hafilisiki.. Fuata jini unyonywe macho Chezea mshahara, usichezee kazi. wabeba lawama Hapa ni stori tu, Kula kale kwenu Mke wa maskini kuwadi mumewe. maskini haishiwi ndoto Barafu la moto Mawe yataiva na kuni zitabaki lawana si mzigo Hata mbuyu ulianza kama mchicha Tumbo deni la dunia mbwa hazai chura Gari bovu, babaako analo? Kama wewe jembe kubali kuchomekewa mpini ongeza mengine........
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 21:59:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015