Mara nyingi hunajiuliza nani napaswa kuingia au kuiona mdingu? - TopicsExpress



          

Mara nyingi hunajiuliza nani napaswa kuingia au kuiona mdingu? kuna watu 3 walikua kwakijihakikishia kuiona mbingu. 1. Alikua ni nimchungaji kwani aliubiri saaana waumini enzi zauwai wake basi alivyo kufa kabla ajaingia mlango wa mwisho kuingia mbingu alitakiwa kutunukiwa cheti cha utendaji wake wakazi pindi yupo duniani, alitaraji angepata cheti cha 100% kwakua alikua mchngaji ila mashini ilivyo fyatua cheti kilitoka cha kiwango cha darasa secondari alilalamika sana akaambiwa kua pindi anatumikia waumini alitumia muuda mwingi kuhamasisha waumini kuchangasha pesa kwa kujinufaisha mwenyewe kuliko kuubiri nenoo langu hivyo unatakiwa kwenda lango lapili kwaajili ya maelekezo ya njia unayopaswa kutumia kutokana na matokeo ya cheti chako. 2. Alikua profesa yeye kwakua alitumia muda mwingi kupotosha jamii kupitia elimu yake,akivyo fariki pindi anafika lango la kwanza aliambiwa asubiri cheti chake cha kumruhusu kwenda lango la 2 na cheti kilivyo toka kwenda kuona ni cha la darasa la 7 hivyo akalalamika saaaaaana haiwezekani kua profesa nikatunukiwa cheti cha darasa la 7 hivyo alielezwa kua alikumia elimu yake ndivyo sivyo kwa kupotosha watu hivyo akifa langu la 2 nauelekezwa njia tofauti kabisa kwani pale njia zilikua ni 2 tu tena zimeandikwa kulia ni mbinguni na kushoto ni mwotoni hivyo mlango ulifunguliwa akachukua njia kwake. 3. Alikua ni mwana siasa ambae yeye kipindi cha uhai wake alikumia muda mwingi kuhamasisha siasa za chuki uchochezi nahata kusababisha mauaji ila alipo fariki dunia kama kawaida alifikia mlango wa kwanza cheti kikatoka ni cha daraja 2 hakuamini msomi kaka yeye apate cheti cha darasa la 2 hivyo nae alilalamika bila mafanikio huku akielekezwa lango la pili mkono wa kushoto. 4. Alikua ni mkulima amabaye yeye alitumia muda mwingi kuishi na wenzie vizuri kwakuwajali, kuwasaidia kidogo alichokua nacho,upendo kwa majilani wenzake ku hubiri na amani..... pindi akipo fariki dunia alifika lango la kwanza nakuambiwa "wewe huna haja ya kua na cheti kwani ulitumia muda kwako vizuri kwa kuhamasisha amani, upenda mshikamano na hata kujaliana" hivyo pita nenda moja kwa moja... unasubiriwa lango la 2 alipofika lango la 2 alipofika lango la 2 akaelekezwa njia ya mkono wa kulia tutafakari saana natujue kua wao watu 3 juu hawata onja mbingu kama kweli hali itakua ndio hivyo mbinguni sasa unajifunza nini kijana mwenzangu katika hadithi yangu hii? pia sambaza hadithi hii kwa makamada wotee Like ·
Posted on: Mon, 05 Aug 2013 18:01:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015