Mechi Za Robo Fainali Ya Kombe La Ngoa La Gotv Zitasakatwa Siku Ya - TopicsExpress



          

Mechi Za Robo Fainali Ya Kombe La Ngoa La Gotv Zitasakatwa Siku Ya Jumamosi Ambapo Mechi Mbili Zitasakatwa Katika Uga Wa Nyayo.Katika Mechi Ya Kwanza,Klabu Ya Mathare United Itakabiliana Na Sony Sugar Mwendo Wa Saa Nane Mchana Kabla Ya Mabingwa Watetezi Gor Mahia Kuchapana Na Western Stima Katika Mechi Itakayosakatwa Mwendo Wa Saa Kumi Alasiri. Siku Ya Jumapili, Klabu Ya Sofapaka Itachapana Na Klabu Ya Finlays Katika Mechi Itakayosakatwa Mwendo Wa Saa Nane Mchana Huku Afc Leopards Ikiliamana Na Karuturi Sports Mwendo Wa Saa Kumi Unusu Mchana.Mechi Zote Za Siku Ya Jumapili Zitasakatwa Katika Uga Wa Nyayo.
Posted on: Sat, 12 Oct 2013 04:20:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015