Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi - TopicsExpress



          

Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana seriously saidhaonga@yahoo
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 13:55:05 +0000

Trending Topics



-height:30px;">
Download** Make Money Easily Online
Discordant tunes greet FG’s ultimatum to ASUU So who blinks
welcome to facebook --> Vin Diesel Fans welcome to facebook -->

Recently Viewed Topics




© 2015