Michezo na Burudani wiki hii...... Yako mengi utakayoyasikia - TopicsExpress



          

Michezo na Burudani wiki hii...... Yako mengi utakayoyasikia yaliyojiri kwa wiki hii inayoelekea kumalizika,..... machache kati ya hayo ni pamoja na**** BAADA YA SAFARI KWENDA SUDAN KUOTA MBAWA,MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME YANGA WASEMA YALIYOPITA SI NDWERE YAELEKEZA NGUVU ZAO KATIKA UASAJIRI WA WACHEZAJI KWA AJIRI YA MSIMU UJAO SIMBA NAO YAWATAKA MASHABIKI NA WANACHAMA KUTULIZA MUNKALI KUHUSU PESA YA USAJILI YA MCHEZAJI WAO EMMANUL OKWI BLANC ALAMBA MIAKA MIWILI KUINOA PSG, ACHUKUA NAFASI YA ANCELOTTI FIFA KOMBE LA MABARA: LEO NI BRAZIL v ITALY, NANI KUMKWEPA SPAIN KATIKA NUSU FAINALI..........NA NIGERIA,NA GHANA ZAFUNGWA KATIKA FIFA KOMBE LA DUNIA U-20
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 12:43:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015