Mimi hujaribu kuimagine vile conversation ya Ruto na Uhunye huwa - TopicsExpress



          

Mimi hujaribu kuimagine vile conversation ya Ruto na Uhunye huwa kwa phone. Phone rings: Uhuru: Sema hustler Ruto: Poa sana mlevi, bluemoon ilikuisha kichwa? Uhuru: Aah kitambo but Maggy amejam na mimi niaje, anasema nilimtusi nikiwa mlevi. Ruto: Pwahahaa..nilik ushow uache ulevi ukunywe maziwa kama mimi. Uhuru: Pombe yangu ni shida yangu nugu ii, ulikua umenicall kusema nini. Ruto: Wee unajua nilikushow hii stori ya VAT ni ngori ukasema tuongeze tu, sasa jua vile utadeal na mraiya. Uhuru: Mbona unatumia akili kama kofia banar, bei ya pombe iko pale pale, kama walevi hawapigi kelele wee usishtuke, hii ingine ni kelele ya vuvuzela. Ruto: Sawa, na stori ya hague umepanga aje, tunaachia nani country? Uhuru: Kwani citizens ni watoi ati watabadilishwa diapers kila saa, ao ni watu wazima watajipanga. Ruto: Sawa tu acha mimi nijitoe kacredo kangu kamedie buddah. Uhuru: Ror..mimi ata nina okoa jahazi sijalipa. Ruto: Pwahahahaha..na vile una shamba mob, siuuze acre moja ubuy credo. Uhuru:
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 13:45:11 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015