Mke: "Naomba tuongeemume wangu." Mume: "Ongea." Mke: "Ni kuhusu - TopicsExpress



          

Mke: "Naomba tuongeemume wangu." Mume: "Ongea." Mke: "Ni kuhusu huyuhouse girl wetu." Mume: "Hilo ni tatizo lako, halinihusu!" Mke: "Ana mimba.." Mume: "Hilo ni tatizo lake, halinihusu!" Mke: "Kasema ni yako Mume: "Hilo ni tatizo langu, halikuhusu" . . Mke: "Majirani wanaongea." Mume: "Hilo ni tatizo lao,hayatuhusu." for moremajibu rike ii page>> Majibu za mamanzi na machali wa kenyaMajibu za mamanzi na machali wa kenya
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 18:46:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015