Mkulima mmoja mcha MUNGU alitoka shambani, GHAFLA akakutana na - TopicsExpress



          

Mkulima mmoja mcha MUNGU alitoka shambani, GHAFLA akakutana na simba, mkulima akashindwa kukimbia akapiga magoti akaanza kusali huku amefumba macho, Kufumbua akakuta simba naye amepiga magoti, mkulima akamuliza na ww ni MKRISTO? Simba akajibu nyamaza kwani uko kwenu hamsali kabla ya kula? Mkulima akazimia. Usidhani wote wanaopiga magoti wanamwabudu MUNGU wa KWELI, wengine wanapiga magoti kumbe roho zao ni kama Simba, wapo kwa ajili ya kukuangamiza. Muombe MUNGU akupe macho ya KIROHO ili uwatambue na kuepukana nao., nakutakia ucku mwema na njozi njema.
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 10:42:48 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015