Mshikaji mmoja alikuwa amekaa na baba yake nyumbani,mara akamuöna - TopicsExpress



          

Mshikaji mmoja alikuwa amekaa na baba yake nyumbani,mara akamuöna dem wake amekuja kumtembelea. Bahati mbaya babake alikuwa mkali,wakataka kumficha mazungumzo yakawa hivi:- MSHIKAJI:"Umekuja kuchukua kitabu cha SPEAK ENGLISH MY FATHER DOESNT KNOW." DEM:"Yes,na kile cha WHERE SHOULD I WAIT FOR YOU." MSHIKAJI:"Dah...hicho sina labda cha WAIT FOR ME UNDER THE MANGO TREE." DEM:"Sawa,usisahau cha I GIVE YOU 5MINUTES." MSHIKAJI:"Pouwah...nitakupa na cha I WONT LET YOU DOWN." BABA:"Mbona vingi,atamaliza kuvisoma kweli?" MSHIKAJI:"Yule dada ana akili sana,ye ndio anatuongoza darasani." BABA:"Aha...basi mpe na kile cha I HAVE UNDERSTOOD EVERYTHING AM NOT THAT STUPID!"
Posted on: Fri, 28 Jun 2013 20:54:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015