Msichana usione mvulana anakutoa OUT kwenye kula dinner sehemu - TopicsExpress



          

Msichana usione mvulana anakutoa OUT kwenye kula dinner sehemu nzuri nzuri, anakununulia Viatu High Heels, anakununulia mawigi mazuri hata ya elfu 50000,Madela anakununulia hata kumi kama ukitaka na ukiwa na shida ya hela anakupa basi mwenyew ukajsahau ukahisi unapendwa! Sometym inawezekana huyo mvulana akawa anakutamani tu! Na hizo zawadi utapokea kibao kabla hajakipata anachotafuta lakini akishakulaza kitandani mara tatu nne na akakujua IN and OUT!akakipata kile alichokuwa anakitafuta,basi tegemea huyo mvulana atatoka nduki kama mwanariadha BOLT na zawadi ndio basi tena kuzipata!mabadiliko atakayokuonyesha unaweza ukasema huyu mwanaume sio yule niliyekutana naye bali huyu ni pacha wake!
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 18:28:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015