Msikilizaji hujambo na karibu katika Amka na BBC asubuhi hii. - TopicsExpress



          

Msikilizaji hujambo na karibu katika Amka na BBC asubuhi hii. Tuliyokuandalia hivi leo yanajumuisha; *Waumini arobaini na wanne wauawa ndani ya msikiti huko Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya kushambuliwa na watu waliokuwa na silaha *Mwanamke mmoja auawa kwa kupigwa risasi Marikana, Afrika Kusini kutokana na mizozo ya vyama vya wafanyikazi wa migodi. *Na huko DRC waumini wa dhehebu moja waliokuwa wamegoma kuvaa nguo wakubali kufunika uchi wao
Posted on: Tue, 13 Aug 2013 01:58:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015