Munajua Mbona Niliwacha Kulala Class High Skul ?? Lesson ilikuwa - TopicsExpress



          

Munajua Mbona Niliwacha Kulala Class High Skul ?? Lesson ilikuwa after lunch tumekula nyama nikajiekelea nilale kabla mwalimu akuje. Nikaanza kuota nacheza cha baba na cha mama huku nalala nikitema mate thick. Maze nikapewa part ya mbwa kwa kalongo longo ju nakuwanga nimechapa. Sa me nafukuza wezi kwa ndoto nikibweka. In real life, kuna boy wa daro anaitwa Felix Maroko akaniingizia mfupa kwa mdomo. Kwa ndoto nikajificha chini ya mti kungojea mwizi na kwa class nimejificha chini ya locker na mimi hukaa mbele. Madam Grace akakuja daro akanitap kwa mgongo watu wakaanza kufanya "SHSHSH" mimi kwa ndoto nikadhani naambiwa "shika". Si nilitoa mwalimu mbio hadi kwa ofisi ya prinsi akishout na mimi nabweka. Hapo ndipo nilifungiwa na tie mingi kwa staffo. Nikapigwa Expulsion with reasons like, "Smoking bhang in Skul and Rape Attempt"
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 14:29:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015