Mungu baba mungu mwana mungu roo mtakatifu, mungu wa Kenya - TopicsExpress



          

Mungu baba mungu mwana mungu roo mtakatifu, mungu wa Kenya Tanzania na mungu wa mataifa mengine/ Mungu wa Abraham, Isaka Abednego na bila kuwasahau wa2 kama Osama, Gadaffi, Cain na Pilato..na wabaya wengine Naja mbele zako kama masafara wengine Nisamehe dhambi yakuzini cna dhambi nyengine Baba mziki wangu ndo tatizo kubwa lengine Wengine wanadai niende kwa mganga pengine Lakini mm nimeokoka na nimebatizwa kama wakristo wengine...2 b continued..!!!
Posted on: Sat, 10 Aug 2013 10:41:28 +0000

Trending Topics



le="min-height:30px;">
This is a must read testimony...amazing Jesus Hapy K
Good news to all nurses and other medical professionals who are
Dublin Style Iron Wrought Gate 12 High Quality Driveway Gates

Recently Viewed Topics




© 2015