Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema - TopicsExpress



          

Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe. Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi. Mume wake alipomuona akamuuliza; MKE:Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu. MUME:Mbona wa lia basi? MKE:Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu! Hehe Soma Zingine hapa=>Vituko vya Wanawake Kisha U Like =>Vituko vya Wanawake na Wanaume wa Kenya Kisha U Like =>Vituko vya Wanawake na Wanaume wa Kenya
Posted on: Mon, 09 Dec 2013 16:35:11 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015