== Mwokozi wa Rastafari == Habari zake zikaenea kote duniani - TopicsExpress



          

== Mwokozi wa Rastafari == Habari zake zikaenea kote duniani zikasababisha kutokea kwa dini mpya ya [[Rastafari]] iliyopokea jina kutoka kwake, ingawa mwenyewe alibaki mwamini wa [[Kanisa la Orthodoksi]], akiwa na daraja ya [[shemasi]]. Watu weusi kisiwani Jamaika, waliokuwa wajukuu wa watumwa wa asili ya Afrika, walisikia kwa mara ya kwanza ya kwamba Mwafrika anaheshimiwa na wafalme wa Ulaya, wakaona yeye ni mwokozi wa Mungu aliyerudi duniani kwa ajili ya watu weusi. Haile Selassie alifukuzwa katika Ethiopia mwaka [[1936]] [[Italia]] ilipovamia Ethiopia, akarudi [[1941]] kwa msaada wa [[Uingereza]] iliyoondoa Waiitalia nchini
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 09:58:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015