¤¤¤NI MIMI NA MOYO WANGU - TopicsExpress



          

¤¤¤NI MIMI NA MOYO WANGU TU¤ Mtunzi:Chicolovebby Namba:0658,0765,270133 Sehem: 26 Habari yako kijana salama kwema uko" Salama tu! Sijui wewe" "Mimi sijambo eeh mimi naitwa Joseph ni mtoto wa Mzee Msiba nilipigiwa simu na mama ameniambia yuko hospital na mama Alvin" "Nikamtaza kaka kisha dada nikamgeukia pia Aneth alafu nikamtazama yule kijana kwa umakini nikashusha pumzi uuuh" "Ulikua unahitaji nini kwa Alvin? "Nilihitaji anipe msaada wakunipeleka hospitali nikamcheki mama yangu" "Kwani tukikuelekeza uwezi fika hapo mwenyewe? "Hapana mama aliniambia niende na wewe kuna maongezi anataka kukupa" "Nilikua nimeingia na wasiwazi tangu mwanzo alivyo nitajia tu mtoto wa mzee msiba usije kuta anaukatili na roho yakishetani kama baba yake akanidhuru njiani" "Nikaendelea kumdadisi mpaka nikagundua akua na nia mbaya nami" "Mimi ndio Alvin na uyu ni dada angu anaitwa Ansila na uyu uliyekuja nae pia nikaka angu anaitwa Arnod" "Nauyu mwingine ni rafiki angu anaitwa Aneth nafurahi kukufahamu karibu" "Mbona unaonekana uyajui haya mazingi wakati wewe ni mtoto wa uyu mzee na yeye anafahamika sana hapa mtaani" "Nikweli mimi sifahamu haya mazingira maana sijaishi na baba tangu nikiwa na miaka 6 nilikua nalelewa na bibi mzaa mama " "Sasa kwanini ukapenda ishi na bibi wakati mama na baba wako unajua wanasema ukiishi sana na bibi unakua mjinga wa fikra" "Ha ha ha ha hapana ni maneno tu ya waswahili hayo ila sio kweli niliishi na bibi kutokana na matatizo ya kifamilia wala sikupenda kuishi nae uko ila baba ndio chanzo cha kufanya niishi mbali nae" "Aliposema kua baba yake ndio chanzo cha yeye kuishi mbali nae nikamtaza dada kisha kaka nikawa nimegundua jambo fulani" "Kumbe uyu mzee sio tu kwa wanakijiji anaroho mbaya bali hata kwa watoto wake nikakumbuka yale maneno ya siku ile akiwa anampiga mke wake" "Binadamu gani wewe usie na roho ya utu kila mtu anakuchukia kutokana na tabia zako kwanza nikikumbuka umeniulia mtoto wangu naumia sana moyoni" "Akili yangu ikaniambia yaweza kua haya ndio yamesababisha japo nilikua sina uhakika asilimia zote ulikua ni mtazamo wangu tu" "Nikamgeukia tena yule kijana na kumuuliza vipi umeshamwona baba? "Hapana wala sihitaji hata kumwona Mama ameniambia yuko police" "Niliendelea kupata mshangao sana kumbe sio mimi ninae mchukia tu baba wako na wengine eeh" "Nikawa na msihi ila nivema ukaenda kumcheki maana uwezi jua hata kama amepata chakula" "Ni kweli lakini siwezi kwenda kuonana na yule mzee nikatili sana alitaka kuniua mtu kama uyu wa nini kwangu acha akae uko kwanza iliaweze kubadilika" "Baada ya Joseph kusema ivyo nilishtuka sana nikajikuta nakumbuka mengi yule mzee alikua ananifanyia kimoyoni nikasema kumbe angeweza kuniua siku ile" "Baada ya majadiliano kidogo tukakubaliana tuongozane mimi , Aneth , na Joseph na Anord hadi hospital" "Tukiwa kwenye daladala Aneth alikua anataka kufahamu uyo mzee alinifanyia nini hadi na mimi nikaenda police kutoa maelezo" "Nikamweleza Aneth stori mzima tangu ilipoanza nilikua namweleza uku moyo wangu ukiwa unauma sana nikifikiria jinsi alivyo mpiga nakumuumiza mke wake na jinsi mtoto wake anavyoniambia nikajikuta machozi yananitoka tu maana alikua anataka kuniua ile siku nilio achana na Aneth" "Aneth akanipa ujasiri nisiogope chochote hakuna ubaya usio kua na mwisho hapa duniani" "Basi tukaendelea piga stori nyingine uku Aneth akiwa ananichokoza chokoza ilionekana kama vile amemic jambo fulani kutoka kwangu" "Weeh baby tulia tuko kwenye daladala usije ukaniamsha mmmh" "Tulipofika tu hospitali tukashuka na kuelekea kwenye hodi aliyolazwa mgonjwa" "Yule kijana alipomwona tu mama yake akamkimbilia na kuanza!..... Usikose Sehem ya 27 Nakuanza kulia uku akimwangalia jinsi ameumizwa na baba yake akasema......ITAENDELEAAAH @Chicolovebaby@
Posted on: Wed, 14 Aug 2013 05:03:35 +0000

Trending Topics




© 2015