¤¤¤NI MIMI NA MOYO WANGU - TopicsExpress



          

¤¤¤NI MIMI NA MOYO WANGU TU¤ Mtunzi:Chicolovebaby Namba:0658,0765,270133 Sehem: 33 Beibe kuna nini mme wangu mbona umepokea simu na kuanza kupata mawazo kunatatizo gani uko nyumbani?" "Beibe akuna tatizo ila ni kwamba unamkumbuka? "Simu ikaita tena nikashindwa msimulia Aneth " "Hallow! "Ndio dada kwahiyo anasemaje! "Anataka kuja hapa nyumbani kuongea na mama" "Basi nakuja hapo sasa ivi take care with mom!" "poa mdogo wangu usihofu take care " "Oky dada nakupenda " "Baada ya kukata simu nikaanza kuwaza tena ule ukatili wa yule mze usije kuta anataka kuja kumpa mama presha bure na kumsababishia matatizo" "Beib usiogope yawezekakua anakuja kwa wema hapo nyumbani uwezi jua" "Beibe ivi unamjua Mzee Msiba unamsikia mimi namuogopa sana tena ananifanya nikose raha moyoni" "Beibe usiogope mme wangu mimi hata sija shtuka naimani kabisa anakuja kufanya mazungumzo ya Amani na wala sio vurugu kama ufikiriavyo" "Sawa maneno ya Aneth yakanifanya nipate nguvu na kuamini kile asemacho" "Hey kijana wangu mbona mnajitenga nasi twende ninyi ni familia yangu nawapenda sana" "Hapana mzee sijajitenga nilikua na ongea na mama pamoja na dada kwa simu" "Awajambo kabisa mama anaendeleaje mguu wake ? "Anaendelea vizuri tunashukuru hata yule mgonjwa mwingine na hali yake inaendelea vizuri" "Tukaendelea piga stori uku Aneth akiwa karibu yangu utafikiri mlinzi wangu" "Alice alikua anaangalia tu pasipo kusema chochote jinsi gani tunavyopendana "Tukafika nyumbani nakufanya sala fupi na kuanza kusubiria chakula cha mchana" "Tukiwa tunasubiria chakula hapo ndipo mzee Paulo akahitaji kuongea nasi" "Karibu wanangu nafaraja sana kua nanyi hapa leo karibuni sana" "Asante mzee nami pia ninafuraha kua hapa nawewe " "Ivi ulinitambulisha uyu ni mchumba ako" "Ndio mzee uyu ndie mwanamke ninaye mhitaji awe mke wangu" "Nimependa maana ujaficha ficha unajua vijana wa saivi ni ngumu sana kuitambulisha familia mwezi wao" "Hii inatokana nakua na lundo la wasichana au wanaume nakuhofia yupi amtambulishe nyumbani" "Sasa kijana wangu umeshapeleka soda kwao? "Bado ndio tuko katika mchakato huo wakwenda kutambulishana" "Vizuri sana kijana wangu naimani kila jambo litaenda vizuri kwa mapenzi yake baba yetu wa mbinguni" "Milele amina ila kwetu mama anatambua kua huyu ni mkwe wake hata ndugu zangu pia" "Naje baba umeshampa taarifa ? "Hapana aliponitajia tu baba nikajisikia vibaya uwa sipendi kumkumbuka kabisa katika moyo wangu kutokana na yote alinifanyia na kumfanyia mama" "Baba sitaweza kumpa izo taarifa wewe ndio utasimama kama baba yangu ila sio mzee Mkandawile" "Kwanini kijana wangu unasema ivyo kunatatizo kati yako na baba?" "Ndio tatizo lipo mzee nikamsimulia kila kitu kuhusu familia yangu uku machozi yakiwa yananitoka" "Mzee Paulo akasimama nakunibembeleza kama mtoto usijali mwanangu hata nami ni baba yako" "Akahitaji kuzungumza nami pekee na kumuacha Aneth akiwa pia anazungumza na mke wake" "Tuliongea mambo mengi sana ambayo yalinifanya nione kumbe unapokosa baba mwenye upendo unaweza pata mtu akasima zaidi ya baba yako "Kimoyoni nikajikuta na sema uyu ni baba angu kwanzia leo nitamdhamini kama mama angu" "Sio kama Aneth nae alikua anapiga stori bali nae alikua anafundwa na mama " "Nancy binti wa mzee akaja kutukaribisha chakula" "Baba karibu chakula tayari kaka karibu" "Asante tukaenda kula tukiwa nafuraha sana uku mzee akiitambulisha familia yake Kama mimi ni kaka yao" "Hata nao wakafurahi na kunikaribisha kwa furaha hata Alice nae alionekana kua nafuraha uku akinitazama kwa hisia" "Baada ya kumaliza kula tukamshukuru mungu nakufanya tena maombi maana nilikua nahitajika nyumbani haraka" "Mze ningependa niage niende nikasikilize uyo mzee anataka kusemaje? "Sawa kijana wangu wala usiogope kwa damu ya yesu atashindwa fanya lolote baya dhidi ya familia yako mwanangu" "Basi tukaagana pale nakumpa taarifa kua tutazidi wasiliana zaidi nikampatia na namba za Dada naza Aneth" "Tukiwa kwenye daladala Aneth alionekana mchangamfu sana uku akiwa na uso wa furaha nakunifanya" "Moyo wangu uwe nafuraha nakumtamkia nakupenda uku nikimshika mikono yake "Nikafika nyumbani nakumkuta mama akiwa anafuraha nikashangaa? "Mama mbona unafuraha sana niambie mmmh mwaah nakupenda! "Wakati nageuka ivi nakutana uso kwa uso na!.....ITAENDELEA! Usikose fuatilia hadithi hii Sehem: 34 @Chicolovebaby@
Posted on: Wed, 21 Aug 2013 04:38:24 +0000

Trending Topics




© 2015