NI WATANZANIA WANGAPI HUOMBA VYUO NA KOZI WASIZOZIPENDA ILI WAPATE - TopicsExpress



          

NI WATANZANIA WANGAPI HUOMBA VYUO NA KOZI WASIZOZIPENDA ILI WAPATE VYUO NA MKOPO? Ndugu zangu kuna mtu amewahi sema hata ukiwa na akili za kimaendeleo kiasi gani,huwezi kuushawishi umma juu ya akili ulizonazo ikiwa umefeli mtihani,lasivyo upewe karatasi zilizo tutu(plain papers) 100 ili utoe ushawishi juu ya wewe kuwa kwenye kundi la wenye akili ikiwa umefeli mtihani. Hoja na wito vipi utafiti ukifanyika kati ya form four 100 waliofaulu na 100 waliofeli baada ya miaka 10 kundi lipi litakuwa limesonga mbele kimaendeleo ? Mwanafunzi wa kidato cha nne akipata division ZERO hapati cheti hata kama amewahi pata A kila somo toka kidato cha kwanza hadi cha nne kabla ya NECTA,vipi NECTA wakitumia continous assesment kutoa asilimia 50 na NECTA asilimia 50? siamini sana kuwa wanaopata ZERO hawana msaada kwa taifa kupitia vyeti vyao kwa kutotambuliwa kama wahitimu Vipi waajili mnaofanya kazi na wanaofaulu sana vyuo na wenye ufaulu wa kawaida ufanisi huletwa na wanaofaulu sana pekee? KUSOMA NA KUFAULU NI MUHIMU ILA KUPATA MAARIFA NA UJUZI WAKUTAWALA MAZINGIRA MUHIMU ZAIDI
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 06:02:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015