NIONAVYO MIMI FAINAL YA BRAZIL VS HISPANIA Hizi ni timu ambazo - TopicsExpress



          

NIONAVYO MIMI FAINAL YA BRAZIL VS HISPANIA Hizi ni timu ambazo huwa sizipendi kishabiki ila nazikubali kisoka.Unapoona mtu kama Mata,Cazorla,wanakula benchi sio kitu cha polepole. Valdes,Reina hawa wote ni tegemezi kwenye club zao ila inapokuja suala la Taifa,benchi ndio mahala pao pa kupumzika.Lazima kuna jambo. Dante kama mnara wa ulinzi pale Bavarians,sio chaguo la kwanza kwa Brazil.Fundi Lucas Moura pamoja na uwezo mkubwa sana alionao,bado anakula benchi.Hii ni hatari. Dani Alves uso kwa uso na Andres Iniesta huku,Luiz Gustavo akitaka kumzui Xaiv Hernandez asipize zile pass zinazoitwa M-Pesa. Anyway,atakayefungwa afungwe tu mimi sina timu kazi ya hizi mbili.
Posted on: Fri, 28 Jun 2013 10:53:09 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015