NIONAVYO MIMI KUFUATIA USHINDI WA WATOTO WA - TopicsExpress



          

NIONAVYO MIMI KUFUATIA USHINDI WA WATOTO WA PROF:WENGER Arsenal ilikuwa hatari sana kwenye ushambuliaji ambapo Anko Tom alikuwa anazunguka uwanja mzima,Ramsey Rambo na Arteta ndo sehemu ambapo Liverpool ilikwaa kisiki. Liverpool wanahitaji mtu mmoja kama Coutinho ili kukamilisha sherehe yao.Wangekuwa na mtu kama Modric au Fabrigas ambaye anacheza na Coutinho nyuma ya SAS,moto ungewaka. Gerrard,Lucas na Henderson wote wanaonekana kuwa wa aina moja na hii ni kwa sababu Gerrard hukuwa jana kwenye ubora wake.Kumkosa pia Johnson kuliwagharimu Rodgers boys! Giroud anaonekana kuhitaji mtu wa kumsaidia,anachoka sana.Wenger anahitaji striker wa maana na sio mfuga nywele BENDTNER. Naona jana Vamerleen na Nacho wote wanacheza beki 3 huku,Sagna na Jernkison wote wanacheza namba 2! Asante wenger hii formation ni mwisho wa reli! Anyway,arsenal alistahili point 3. Im sorry!
Posted on: Sun, 03 Nov 2013 05:17:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015