Najua wengi watakuwa wamelala ila kwa ambao hawajalala me ntakuwa - TopicsExpress



          

Najua wengi watakuwa wamelala ila kwa ambao hawajalala me ntakuwa dereva wao........% Nakumbuka siku moja ivi ilikuwa mida kama hii nilipopigiwa simu na demu kwamba niende kwao baba yake kasafiri na mama yake kaenda hospitalini hawezi kurudi kwa usiku ule...ndipo kijana nikaamua kwenda ila kabla sijafika kwao nilikutana na watu wawili nisiowafahamu kwa sura wala majina na kuanza kunifukuza mpaka nikapoteza simu yangu ila niliponea mtaa wa pilli kwa kuwa kulikuwa na disco vumbi na nikaamua kukaa mpaka asubuhi......#demu akajua ni makusudi na #tukaachana
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 20:27:48 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015