Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa: 1.Anayeulizwa jinsia yake - TopicsExpress



          

Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa: 1.Anayeulizwa jinsia yake mpaka avue nguo ajiangalie, 2:Aliyekuwa anasafiri alipofika stendi akasahau anakwenda wapi, 3:Aliyeingia hotelini baada ya kukaa akasahau kama amekula au la, 4:Mwanafunzi aliyefika shulen akasahau anasoma darasa la ngapi, 5:Binti kwny send off akamsahau mchumba wake, 6:Mchezaji aliyeingia uwanjani baada ya mpira kuanza akasahau anachezea timu gani, 7:Rais aliyekwenda kwenye mkutano wakati wa utambulisho akasahau yeye ni rais wa nchi gani au 8.Mume aliyetoka kzn akamsahau mkewe na kumuuliza wewe nan? NANI KAZIDI HAPO NIPE JIBU!
Posted on: Wed, 30 Oct 2013 15:15:40 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015