Ndugu zangu Watanzania narudi kuwakumbusha tena hasa vijana,dont - TopicsExpress



          

Ndugu zangu Watanzania narudi kuwakumbusha tena hasa vijana,dont be pushed by the political wind within the country now naleta msisitizo,nasema hivi kwa sababu tumeshaacha ajenda ya maendeleo yetu sisi binafsi na badala yake tunaburuzwa na Wanasiasa katika kuabudu na kufuata kile wanacho kiamua,chama fulai kikisema hiki mnaingia barabarani na katika mikao ya kahawa kuunga mkono.The development of this Nation is under you, youth of the country, it is like you want to escape from the reality your the key player of the game, hence if abandon that fact and leave that to some else you are the betrayer of our development.Shule hamtaki,nyinyi mnakalia kusubiri mwanasiasa awaze kwa ajili yanu sasa.Naomba chukueni mawazo haya Jiungeni katika vikundi vya watu kumikumi sio vya kuuza maji hapana vya kilimo cha mazao yoyote yale yawae alafu waote nendeni kwa mbunge wenu kamwombeni mtaji wa kununulia Trecta alafu tafuteni bonde la kilimo hamieni huko mtaona mafanikio yake.Vyama vyote waachieni viongozi na muwasubiri ufike uchaguzi halafu muumuu nani au chama gani kinawafaa,Hivi ndivyo wanavyofanya wenzetu nchi zilizo endelea.Nadhni mmenisikia.
Posted on: Sat, 27 Jul 2013 07:14:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015