Ni aibu kubwa kwa kiongozi kutumia mali za serikali vibaya. Ila ni - TopicsExpress



          

Ni aibu kubwa kwa kiongozi kutumia mali za serikali vibaya. Ila ni uzalilishaji kwa mtu au watu,kikundi fulani kujaribu kumkashifu kiongozi wa nchi kwa tuhuma ziczo na ukweli. Umenisonesha kwa makamu wa rais wa zanzibar MAL SEFU SHAFIFU kwakusafisha miogo,ndizi na mkaa kwa kutumia ndege tena ya rais? daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah aibu mzee kama kweli me sina la kusema. Waombe radhi wanzibar wenzako
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 06:37:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015