Ni raha iliyoje tunapoingia na kuunza MWEZI - TopicsExpress



          

Ni raha iliyoje tunapoingia na kuunza MWEZI OKTOBA…2013…hahahaa wengine bado hawajagutuka kwamba huu mwaka wenda..…wengine madeni yanazidi kuwalemea..….usisahau kuna na wengine ahadi waliziweka wenyewe sasa zawashinda kuzitimiza….chezea pilkapilka weweeee…....na hayo yote ni maendeleo kiupande wake…..hayo kando njoo twende pamoja upate raha kama utajiunga nami kwenye CITIZEN EXPRESS….ndani ya RADIO CITIZEN…...kaa tayari kwa burudani bab kubwaa…ingia ndani ya chombo tuanze safari rasmi….safari salama kabisaaaa…..kaa tayari tukeshe pamoja…. (12:00am mpaka 5:00am)...NAHODHA WAKO MSTAARABU – MTOTO WA MJOMBA, KERKER ZEYMER ntakuwa nawe hadi cheeee maana hakuna kulala ….twende kazi.....Skiza Liive OnLine>>> radiocitizen.co.ke na leo ikibamba sana SEMA......WATU WAOE na WENGINE WAOLEWE…
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 21:11:49 +0000

Trending Topics



div>

Recently Viewed Topics




© 2015