Niite Jenny Mtoto wa Kike ,nikiwa na wingi wa matumaini kwamba uko - TopicsExpress



          

Niite Jenny Mtoto wa Kike ,nikiwa na wingi wa matumaini kwamba uko tayari kufunga wiki in style!! Werokamu!! Sema nami… WAEFESO 1:3 "Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, maana,katika kuungana na Kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.” Tushirikishe kifungu chako cha jioni na ujumbe wake.. SWALI LA JIONI: Fafanua msemo huu: “Heri kujikwaa guu kuliko kujikwaa Ulimi.”. Funga wiki na wawili,watatu ukitushirikisha ulichojifunza wiki hii.. Makinika! SABA ZA WIKI 23/08/13 7) Mungu wangu- Irene Wambui 6) Ebenezer- Paul mwai 5) Mambo yanabadilika- Hellen Ken 4) Raha jipe mwenyewe- Neema Mwaipopo 3) Kwata Kawaya- Mbuvi 2) Hakuna wa kufanana naye- Dan Mwaniki 1) Omundu mulosi- Injili singers Uupigie wimbo wako kura mara nyingi upendavyo! Vilevile upendekeze uupendao!
Posted on: Fri, 30 Aug 2013 12:11:33 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015