Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey "Sikumaliza - TopicsExpress



          

Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey "Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates "Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln ... "Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson "Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi" - Lionel Messi "Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwaajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewana Wahisani" - Steve Jobs "Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair KUMBUKA: Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila nijuu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya, hivyo….. USIKATE TAMAA
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 18:27:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015