Nimeenda tao nikaona nitulie kwa hizi viti za city council kiasi. - TopicsExpress



          

Nimeenda tao nikaona nitulie kwa hizi viti za city council kiasi. Kukaa kiasi nikaanza kufeel kaupepo kapoa kakinigonga katikati ya miguu. Dem fulani akapita apo karibu akanicheki alafu akacheka..mimi nikadhani pengine ni wazimu. Manze kujiangalia katikati ya miguu viazi zangu zimehang nje..trouser yangu iliraruka bila mimi kujua na kaboxer nilikua nimedunga kenye kamechapa. Sema aibu..nimetamani kuingiza kichwa kwa mtungi. #AdminGaddafi
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 13:08:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015