Nimeiba hii kwa Cris Kai "Relationship hazina adabu, ziko kama - TopicsExpress



          

Nimeiba hii kwa Cris Kai "Relationship hazina adabu, ziko kama Bodaboda,ajali muda wowotetu...Usiachane na mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa umepata Kipusakipya unamwaga shombo na kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basihatuhemi, unabreak up kwa kiherehere, nyodo na kisebusebu utadhani huyompenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More Biscuitskwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au jasho lake linanukia juice yaAloe Vera..... Hakuna jipya,ni mihemko tu ya kipya kinyemi,hana tofautiyoyote ni binadamu tu tena anaweza kuwa worse zaidi ya uliyemuacha.Ukishindwana na mtu muachane kwa amani,huwezijua utamkuta wapi akiwanani na kwenye position gani... We endelea tu kubreak kwa matusi nakashfa na kuita watu Tumbili pori uje ukutane nae kwenye Interview ndoutajua kama kuna Tumbili ni HR Manager ana ofisi na hana mkia, suraitakushuka kama Bamia iliyooza."
Posted on: Fri, 30 Aug 2013 10:30:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015