#POLENI CUF NA KIPONDO CHA WANAJESHI WA MTWARA. Lakini - TopicsExpress



          

#POLENI CUF NA KIPONDO CHA WANAJESHI WA MTWARA. Lakini ndio mjue kwamba hakuna Urafiki wa paka na panya hata siku moja.Ndoa yenu na Ccm mkafikiri kwamba mpo salama mmechemka sana. Wakati sisi Chadema tunalipa kwamba tunaonewa,tunapigwa,mlikaa Kimya na kujifanya sio Nyinyi mnaopatwa na hayo.lakini sasa yamewafika..poleni kazeni moyo,mjue kabisa Ccm ni majngili. TULIPOKUWA BUNGENI mliamua kutuacha na nyinyi kuchangamana na Ccm na kutuzomea kwa pamoja eti Cdm ni maandamano.mlicheka tulivyokuwa tunatendwa.mliungana na Ccm kutuzomea.lakini sasa kikombe chenu kimejaa naomba mkinywe tu. Nampa pole sana Kiongozi wenu Bwana Mketo kwa kupewa kichapo na kutupwa Gerezani. Urafiki na Ccm ni kutia majanga.
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 08:33:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015