Pwani kuna raha! wanafunzi waenda shuleni saa mbili unusu, waenda - TopicsExpress



          

Pwani kuna raha! wanafunzi waenda shuleni saa mbili unusu, waenda kwa chakula cha shuka(lunch) saa sita kasoro dakika ishirini na tano(11:35am), Warudi madarasani saa nane na dakika kumi na tano-kumbuka huo muda wote wako kwenye bichi watafuta riziki na kuogelea. masomo ya ya mchana yamalizika saa kumi kamili natwaelekea bichi tena kucheza. swali lani hawa wanafunzi wa darasa la nane karibu na "SHELLY BEACH" wataweza kufanya vyema katika mtihani wa darasa la nane? mmoja kanieleza, kaka mkubwa mbona ningangane na masomo ikiwa bichi(beach) hii hapa?
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 04:13:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015