RAIS KIKWETE " WANAKAGERA mnakumbuka nilipita hapa mwaka 2010 - TopicsExpress



          

RAIS KIKWETE " WANAKAGERA mnakumbuka nilipita hapa mwaka 2010 kuwaomba kura na kuwaahidi kuwa mkinichagua tutajitahidi kutafuta fedha na kujenga barabara ya Kyaka- Bugene,,,leo nazindua rasmi barabara hii,,,,serikali yetu inafanya kila juhudi kutkeleza ahadi zetu na kwa uwezo wa Mungu tutazikamilisha" TUPO NA MUNGU WAKATI WOTE; NA SI ETI KUANZA NAE alafu tumuache eti tusubiri kumaliza nae. ata kabla ya kuanza tupo naye na atakabla ya kumaliza tupo naye MLUNGU CHIBIDU
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 20:39:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015