Rest In Peace Winnie of Sironga Girls High School. Winnie was - TopicsExpress



          

Rest In Peace Winnie of Sironga Girls High School. Winnie was sitting her KCSE. She fell ill on wednesday while doing her Maths p2. She was rushed to Kisii level 5, later she was taken to KNH for specialized treatment. She was discovered to have had a HEART FAILURE. Dr. Jarunda would like to condole with the Family and friends of Winnie. Please accept my condolences. Losing a student like this is never easy YOU will always be in our hearts. You was too young to leave us, but God must have had a different plan. Your life may have taken a detour, but God is still on the throne. He has brought you this far, and sooner or later, your peace will be restored. Just type Nyimbo Za Kikristo No. 180: Pana Mahali Pazuri Mno!! 1. Pana mahali pazuri mno, Twapaona kwa mbali sasa; Baba yetu angoja pale, Amepanga makao yetu. Kitambo tu bado, Tutakutana ngambo pale. Kitambo tu bado, Tutakutana ngambo pale. 2. Tutaimba pale kwa moyo Nyimbo tamu za wenye heri. Na rohoni hatutaona Tena haja ya kupumzika. 3. Kwa Baba yetu mkarimu Tutatoa shukrani sana, Kwa kipaji cha pendo lake na baraka anazotupa. Nyimbo Za Kikristo No. 158: U Mwendo Gani Nyumbani? 1. U mwendo gani nyumbani? Mlinzi akanijibu, Usiku sasa waisha, macheo karibu. Usihuzunike tena, bali ulemee mwendo Hata ushike ufalme kule mwangani juu. 2. Na tena niliuliza, nchi yote ikajibu: Sasa mwendo watimika, milele karibu. Usihuzunike tena, ishara kuu zasonga Na viumbe vyangojea sauti ya Bwana. 3. Nikamwuliza shujaa, ndivyo kanitia moyo: Shikilia mapigano, kitambo yaisha. Usihuzunike tena, kazi ifanywe kwa moyo; Tumeahidiwa tunu tuishapo shinda. 4. Siyo mbali na nyumbani! Fikara tamu njiani, Latupoza roho, nalo lafuta machozi. Usihuzunike tena, kitambo tutakutana Wenye furaha kamili nyumbani mwa Baba. R.I.P or AMEN or leave a short prayer.
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 08:01:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015