Rwanda,Uganda na Kenya zimetangaza kwamba kuanzia tarehe mosi - TopicsExpress



          

Rwanda,Uganda na Kenya zimetangaza kwamba kuanzia tarehe mosi mwezi Januari mwaka ujao wa 2014 wananchi wa nchi hizo wataanza kutumia vitambulisho kutoka nchi moja kwenda nyingine badala ya kutumia pasipoti kama ilivyo sasa.Mawaziri wa mambo ya ndani na wale wanaohusika na masuala ya jumuiya ya Afrika mashariki wa nchi hizo tatu wamelipitisha azimio hilo mjini Kigali kama ishara ya kuanza utekelezaji wa ulioagizwa na marais wa nchi hizo. Je, kwanini Tanzania na Burundi watengwa katika suala hilo?
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 15:13:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015