SHAFFII mimi nauliza kuhusu suala la Kelvin yondani ambalo - TopicsExpress



          

SHAFFII mimi nauliza kuhusu suala la Kelvin yondani ambalo lilitokea mwaka jana, alitoroshwa kambini akiwa na timu ya taifa akaenda kusaini mkataba Yanga, Simba walilalamika kuhusu hili na muheshimiwa Tenga alisema watawachukulia hatua kali wale wote waliohusika na tukio hilo, lakini cha ajabu hadi leo hatujawahi kusikia kutajwa kwa wahusika na hatua zilizochukuliwa. Je Muheshimiwa Tenga kashasahau alichokizungumza mbele ya waandishi wa habari au na yeye alihusika katika mpango huo?.
Posted on: Mon, 10 Jun 2013 06:02:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015