SHUKRANI KWA WOTE WALIYOSHIRIKI FUTARI. Kituo cha Markazi ya - TopicsExpress



          

SHUKRANI KWA WOTE WALIYOSHIRIKI FUTARI. Kituo cha Markazi ya watanzania chini ya Rais wake ndugu Ally Said Mwinyindi anapenda kutoa shukrani zake za dhati kwa wote waliyohudhuria jana kwenye futari, na wale waliyokuwa na nia ya kushiriki lakini kwa sababu mbalimbali wakashidwa kufika wate wanawashukuru kwa pamoja. Shukrani khaswa kwa rais wa wanafunzi wa bonde la mto nile, Ustadhi Adamu na rais wa wanafunzi wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mtangazaji wa redio cairo, ustadhi Said Nasssor. Shukrani wote Allah akulipeni kila la heri.
Posted on: Sun, 04 Aug 2013 09:22:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015