SOMA STORI HII UJIFUNZE...... Ilikuwa tarehe 28/10/2008 ndo - TopicsExpress



          

SOMA STORI HII UJIFUNZE...... Ilikuwa tarehe 28/10/2008 ndo ilikuwa siku tunaruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kumaliza elimu yetu ya sekondari, kabla hatujaruhusiwa mwalimu wetu wa darasa alikuwa namachache yakuzungumza na sisi;Kiukweli wanafunzi wote mnaonekana kama watu wenye furaha kubwa ya kwenda nyumbani ila kunamachache nataka kuzungumza nanyi kabla sijawaruhusu,najua sasa ndo mnakwenda kukabiliana namaisha ya mtaani mnajua kuwa maisha kama mtakwenda yanavyotaka basi mtaishia pabaya inabidi ninyi ndo myaongoze maisha nawala sio maisha kuwaongoza ninyi sina mengi bali nawatakia maisha mema,baada yakusema hayo mwalimu alituruhusu kwenda nyumbani.Nilitoka shule nikiwa nafuraha tele kwa kumaliza shule nikafika nyumbani na kumkuta baba ameshatoka kazini nikamweleza kuwa tumemaliza shule baba alinieleza kuwa kesho atanipeleka kwenye ukumbi wake wa cinema ili niusimamie kiukweli kesho yake baba alinipeleka na kuanza kazi baada ya siku mbili nilikutana na msichana aliyekuwa amekuja kuangalia picha..Itaendelea
Posted on: Wed, 25 Sep 2013 04:53:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015