#STOLEN... Hakuna kitu huniudhi kama kutia kashimo kadogo - TopicsExpress



          

#STOLEN... Hakuna kitu huniudhi kama kutia kashimo kadogo usiku. Sasa room- mates wamelala na nataka kudunga haka kashimo. Nikiwasha lights, nitawaamsha na si poa wakitambua nataka kufanya nini. Sasa imebidi nimepapasa papasa kwa muda mrefu bana, ndio nikapata kashimo. Kuweka 2 hivi, ikaingia haraka shwa! hadi nikashangaa kwani ni hall!!. Nikajua nimetia shimo ambalo silo. Nikapapasa papasa tena hadi nikapata kashimo kengine kando yake. Kutia hivi, ikaingia vizuri tena ikaguza walls vile nilkuwa nataka, nikajua nimelenga ndipo. Haki ku connect CHARGER ya Nokia ya pin ndogo ni STRESS.... Kumbe mara ya kwanza nilikuwa nimeingiza kwa shimo ya earphones. Nkt!
Posted on: Mon, 02 Sep 2013 10:21:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015