STORY YA KWELI... MUME anaumwa yupo hoi kitandani tafadhari - TopicsExpress



          

STORY YA KWELI... MUME anaumwa yupo hoi kitandani tafadhari mkewangu naomba usogee karbu nikuombe radhi kw yote nilio kukoxea kwan kwa sasa ali yangu ishakua mbaya nahsi umaut ushaanza kunifika alisema (kwa saut ya upole) MKE bee mume wangu niambie ki2 gan mume wangu umenkosea MUME dah nimefanya mazambi makubwa sana mke wangu pale ulipo pata safari ya kikaz uku nyuma nika tembea na mfanya kaz we2 kisha hata na mdogo wako yule mwnafunzi nikaja kutembea na shangaz yako mwisho kabisa ni dhambi kubwa cdhani km utanisameee nimetembea na mama yako mzaz mke wangu naomba uni samehe hili nikapumzke salama uko ahela. MKE nilishajua hivi punde tu na ndio mana nikaamua kukuwekea sumu hili ufe pole sana mume wangu tulia sumu ikuingie vizuri .... Mume pale pale jiiiiiii kafa
Posted on: Tue, 29 Oct 2013 13:09:31 +0000

© 2015