STORY......kasheshe la mama mwenye nyumba MTUNZI......cox dawa - TopicsExpress



          

STORY......kasheshe la mama mwenye nyumba MTUNZI......cox dawa yao Ilipoishia Nilitoka kwa yule demu wangu wa saluni nikarudi zangu gheto kufika tu mlangoni nikakutana na mama mwenye nyumba akaniambia afadhali umekuja nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana malaya wako kaja hapa kanitukana xana Endelea SEHEMU YA 44 Nilishangaa sana kusikia yale maneno nikajiuliza nani tena kaja hapa kulikoroga kwa mama mwenye nyumba nikamwambia"mumy mbna mm sielewi chochote mm leo sijalala hapa nyumbani ndo narudi mida hii" akaniambia" kamekuja hapa kale kabinti ambako juzi ulikuwa nako humo ndani kwako hata salamu hamna kakakuulizia mm nikakaa kimya akaniangalia kwa dharau akatoa tusi akaondoka" nikamwambia"msamehe mumy yule bado mtto hajui atendalo" akaniambia"hakuna cha mtto wewe ndo umesababisha yote haya kuniletea malaya wako humu kwenye nyumba yangu na umwambie sitaki tena kumuona hapa na sitaki kumuona ana urafiki na binti yangu" kumaliza utata nikaomba msamaha ndo akanielewa lkn bado alikuwa na hasira sana Nikawa nafikiria hivi yule binti wa mama mwenye nyumba akirudi likizo akija kusikia nilimuingiza rafiki yake mule ndani itakuwaje si itakuwa balaa anaweza akaanzisha mtiti hadi mama yake ajue kuwa na yy nimeshamgonga nikawa naomba mungu jimama wangu anihamishe haraka pale ili niyaepuke yale majanga Nikachukua simu yangu nikampigia yule binti ambaye mama mwenye nyumba alisema kamtukana ili anipe stori vizuri imekuwaje nikamuuliza"shemeji leo umekuja hapa gheto umefanya nn kwa mama mwenye nyumba wangu?? Akajibu" mimi nimekuja hapo nimekuta mlango wako umefungwa wewe haupo nikamsalimia huyo mama akanikaushia nikakuulizia akaanza kunitolea maneno machafu na mm ndo nikaanza kujibizana naye" nikamuambia"sasa kwann ww usikae kimya unajibizana na mama mtu mzima kma huyu alafu ni mama yake rafiki yako" akaniambia"bby huyo mama kazidi anawaonea wivu hadi mabinti zake kwa mabwana zao" nikamwambia"sasa huyu mama kasema hataki kukuona umekuja hapa na hataki tena kukuona una urafiki na binti yake" akaniambia"poa tu bby mm kama nataka kuonana na ww tutaonana sehemu yyte sio lazima hapo kwako na mm nna marafiki wengi sio lazima niwe na urafiki na binti yake" tuliongea mengi sana lkn nilichomuhusia ni kuwa asije tena pale gheto Nilipumzika sababu nilikuwa nna uchovu sana na mawazo na hapo kesho yake ndo ilikuwa safari yetu ya kwenda bagamoyo mm na jimama wangu alirudi msela wangu akaniamsha akaniambia"cox mama mwenye nyumba umeshaonana naye amekuulizia kweli yani" nikamwambia"ndiyo nishaonana naye tumeshayamaliza" akaniambia"vipi alikuwa ana shida gani au ndo usumbufu tu kama kawaida yake? Nikampa mchapo mzima alishangaa sana akaniambia"kweli rafiki yangu wewe noma yani kumbe umeshamgonga yule rafiki yake demu wako" nikamwambia"ilitokea tu bahati mbaya rafiki yangu alikuja hapa akaanza kuniletea visa shetani akanipitia nikajikuta nimefanya naye mapenzi" akaniambia" mbna sasa kila mwanamke wako wewe mbna mimi siwapati alafu yule binti mm nilikuwa nimepanga nimtongoze kma ww umeshagonga basi tena afadhali umeniambia" nilicheka nikamwambia"tatizo la wewe rafiki yangu una siri sana mimi ungeniambia ningekuachia nisingemgonga" Akaniambia"ila kweli rafiki yangu mm nna siri sana na huwezi amini kuna mwanamke tumemgonga wote mm na ww rafiki yangu" duu nilishangaa sana nikajiuliza mwanamke gani tena tumeingiliana na rafiki yangu Itaendelea Leo saa 1 jioni GONGA LIKE KAMA UMEIPENDA STORY
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 09:02:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015