Serikali yetu sikivu imeamua kutoza kodi ya shs 1000 kwa mwezi - TopicsExpress



          

Serikali yetu sikivu imeamua kutoza kodi ya shs 1000 kwa mwezi katika kadi za simu, na anaelipa ni mtanzania mwenye kipato cha kusuasua, wakati wananchi wanalalamika gharama za mawasiliano zipo juu, ndo kwanza wakubwa wanongeza kodi, huku bunge letu la ndiooooooooooo likishabikia bajeti hiyo na kusema itambomboa mtanzania mlala hoi, huu ni msumari wa moto kwenye kidonda, Napata matumaini KODI YA KICHWA NA YA BAISKELI zitarudi, swali la msingi gesi,madini na rasilimali zinafaida gan kwa nchi hii?
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 10:31:42 +0000

Trending Topics



yle="min-height:30px;">
Lyrics of the day! What if the world was in the palm of my
>
a511h60q NHL vintage complete hockey card set:1984/85 opc usd8k3as
When a sensitive soul like Bobs gets put under the microscope to
Rahmad Darmawan Akhirnya Dapat Tanda Tangan
Neste SÁBADO, GLOW Edition com o melhor DJ de Funk da
Overseas Sessions reaches its 1000 podcast. I would like to thank
Yesterday afternoon, President Obama called our own Police
Duracell Procell 3-volt Lithium Battery - Model PL123A-12 pack

Recently Viewed Topics




© 2015