Sheria ya Magazeti (The Newspaper Act 1976) inampa mamlaka Rais wa - TopicsExpress



          

Sheria ya Magazeti (The Newspaper Act 1976) inampa mamlaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuzuia chapisho lolote linalotengenezwa hapa nchini ama kuingizwa kutoka nje ya nchi ambalo linaweza kuhatarisha matakwa ya nchi. Sheria hii vilevile inampa mamlaka Waziri anayeshughulikia mambo ya habari kuzuia kuchapishwa kwa toleo lolote la gazeti, na kwamba itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote atakayechapisha, kuuza ama kusambaza gazeti hilo baada ya amri ya Waziri kutolewa.
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 07:42:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015