Sio kila Mwanamke mzuri atakupa Watoto wazuri,wengine wamechoka - TopicsExpress



          

Sio kila Mwanamke mzuri atakupa Watoto wazuri,wengine wamechoka wametoa Mimba zaidi ya 23,utaishia kununua vitenge tu na kulegeza chaga kila siku ila watoto Nehi.. Sio kila Cover zuri linasadifu utamu wa kitabu humo ndani, zingine chogi tu ndani utumbo. Sio Kila Gentleman na Smart guy anafaa kukuoa, wengine ni mashoga wamejificha kwenye usmart tu chunga sana, na yako mengi tu hapa mjini! Sio kila Mpole ana tabia nzuri, usidanganyike, wengine wanajijua wakiongea wanaweza kukupa Heart Attack. Chunga sana, si kila vionekanavyo hivyo, viko hivyo vionekanavyo, Vingine viko tofauti unahitaji Microscope kuona Inner Particles
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 20:42:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015