Soggy Doggy aeleza jinsi wimbo wake ulivyotumika kwenye filamu - TopicsExpress



          

Soggy Doggy aeleza jinsi wimbo wake ulivyotumika kwenye filamu Sometimes in April ya Idris Elba na kutolipwa hata senti Sometimes in April ni filamu ya mwaka 2005 iliyoigizwa kuelezea mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda ya mwaka 1994. Muigizaji raia wa Uingereza, Idris Elba aliigiza kama Augustin Muganza kwenye filamu hiyo Iliandikwa na kuongozwa na mtengenezaji wa filamu wa nchini Haiti Raoul Peck na kuchezwa na waigizaji kama Idris Elba, Oris Erhuero, Carole Karemera na Debra Winger. Kwa wengi ambao hawajaiona filamu hiyo hawafahamu kama wimbo wa rapper Soggy Doggy ulitumika kwenye filamu hiyo. Ile movie ilichezwa na Wamarekani pamoja na wasouth Africa
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 11:42:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015