TAARIFA NZURI...Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali inasemekana kuwa - TopicsExpress



          

TAARIFA NZURI...Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali inasemekana kuwa Wayne Rooney yupo mbioni kusaini mkataba mpya kuendelea kucheza Manchester United kwa miaka mingine mingi...wakati huo huo wamiliki wa timu familia ya Malcom Glazer imekasirishwa na kitendo cha makamu mwenyekiti wa klabu bwana Ed Woodward kushindwa kufanya usajili mkubwa wa wachezaji wenye kiwango cha Dunia kama ilivyotarajiwa...Ed Woodward mwenyewe ameshaomba radhi na kuahidi makubwa kwenye soko lijalo la usajili ifikapo mwezi januari mwakani. Umeipenda taarifa hii?...[Like & Share] DL
Posted on: Sun, 08 Sep 2013 07:12:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015