TAFRIJA! Hayawi hayawi leo yamekuwa!Nimekusabahi ndugu yangu - TopicsExpress



          

TAFRIJA! Hayawi hayawi leo yamekuwa!Nimekusabahi ndugu yangu Ijumaa ya leo. Hujambo na tumsifu Yesu Kristu! Natumai unaendelea vyema. Mimi Mc Judy niko poa,Karibia kwenye chariot ya Tafrija za Kheri njema tulipue sifa pamoja tunapotamatisha wiki hii. Kinyang’anyiro cha nafasi ya kwanza katika 21 zilizovuma wiki hii kimechacha moto kweli! Nyimbo nne zang’angania nafasi hiyo hii wiki hii.... 1. Jina la Yesu-St Bakhita Mukuru 2. Yamba Yamba-Holy Spirit Choir 3. Twabisha hodi-St Paul Mathare 4. Jina la Yesu-St Francis Kasarani Amua kwa kupiga kura kupitia SMS kwa nambari 22669 mara moja tu.CHANGAMKA!
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 08:00:49 +0000

Trending Topics



ama had issued permits for

Recently Viewed Topics




© 2015